206 views

Published on December 23, 2015

Mazingira yatiwa shakaa kubwa katika eneo la Eastleigh

Misimu ya sikukuu kama vile zinazotarajiwa za krismasi na mwaka mpya ni wakati wa watu kuwanunulia wapendwa wao zawadi. Usafi majumbani hudumishwa kwa ajili ya wageni na kuweka mandhari yanayostahili sherehe. Lakini kuna sehemu ambazo husahaulika katika pilka pilka hizo za kuuza na kununua na hatimaye zikasababisha uchafuzi wa mazingira, jinsi wachuuzi pamoja na utepetevu wa serikali ya kaunti ya Nairobi wanavyosababisha uchafuzi wa mazingira msimu huu. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on ...Conversion time: 0 seconds
Status: Starting...
5%


Please wait: 60 seconds

or

Create a member account and get:

   Removal of countdown delay!
   Unlimited number of downloads!
   Tech support for help!

Start 1 day free trial